Vipi ni kweli??[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Haujafutwa bado wacha nigonge likes kwanza nitakuutafutaWatu wanapeana makavu laivu na mapovu ya kufa mtu. Mshana mwenyewe hajajitokeza. Wanasema anachochea matunguri kwanza. Kazi kweli kweli...
Sina komenti..Vipi ni kweli??
Yaani, tena ningekuwa Makonda, kila ninayemuita pale kwa shutuma hizo wangekuwa wanachezea bakora kwanza ndo mengine yanaendelea..Unatetea michepuko?
Ndo maana mnaitwa ilala boma[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe?Hahaha Ilala boma kumbe imesababishwa na michepuko
Hahahahaha hata kama star Uzi wetu ni muhimu sana tuna acha mambo mengi kuingia humu kuendeleza Uzi wetuMchongo huo Pyaar usipuuzie. Ukiwa star sidhani hata kama utaukumbuka uzi huu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
YapIla couple za JF nyingi za uongo na showff tu bora kuwa single au utan ndan ya uzi mmoja sio kufatana kila kona
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Weeee tena nafuta I'd na kusepa Jf kabisa nikifulia narudi kwa pyaar wangu... [emoji23]
Poa sanaNipo aisee, uvuvi huu naona unanipelekesha! Niaje lakini?
Likes zinaendeleaSijawahi kugawa like...kama...leo....
Kijana ana maswali ya majaribu huyuHaunipati ng'oooView attachment 743591
HahahhaaCHACHAWA dah! Hata mwezi hakijamaliza. Roho inaniuma basi tu !!!