Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naomba nichangie hela niweze kwenda kwa THE INDUSTRY STUDIO ya nahreel, jumanne nilienda kutoa pesa nusu bado laki 3 kurekodi kuanzia beat mixing na Sauti ni laki 7....

Halafu video namtafuta hascana wewe utakuwa video queen... [emoji91] [emoji91] [emoji23]
Mchongo huo Pyaar usipuuzie. Ukiwa star sidhani hata kama utaukumbuka uzi huu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Urafiki ulionao unakusaidia na kukujenga, au wanakurudisha nyuma? wakati mwingine tunaendeleza marafiki kwa sababu ni rahisi kuwepo nao, au kwa sababu wamekuwa wa siku nyingi. kwa wale wanaoweza kuvunja hayo mahusiano ya urafiki usiokuwa mzuri na kuwaondoa maishani mwao. misemo hii itakupa ukweli.
 
Ila couple za JF nyingi za uongo na showff tu bora kuwa single au utan ndan ya uzi mmoja sio kufatana kila kona
Ndiyo maana wengine tumetulia huku. Nikitaniana hapa huko kwingine naenda kuangalia mapovu na ishu ndogo ndogo basi naishia hapo...But again kila mtu na lwake na si sawa kupangiana mambo. Huyo dogo nadhani kuna kitu zaidi kimemkera na siyo hayo mapenzi pekee....
 
Back
Top Bottom