Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naomba nichangie hela niweze kwenda kwa THE INDUSTRY STUDIO ya nahreel, jumanne nilienda kutoa pesa nusu bado laki 3 kurekodi kuanzia beat mixing na Sauti ni laki 7....

Halafu video namtafuta hascana wewe utakuwa video queen... [emoji91] [emoji91] [emoji23]
Hongera..
Mie naomba niwe manager wako...,.

Video kwini na uhenga huu sitaweza...

Kipaji nimekiona ndani yako...nicheck via +2550002353456.

Karibu.
 
IMG_3350.JPG
 
Kuna aina mbalimbali ya mazoezi ambayo unaweza kufanya kila siku kutokana na uhitaji wako au malengo uliyojiwekea.Ufanyaji wa mazoezi kabla hujaanza kufanya shughuli zako za kila siku huwa na faida kubwa sana katika kukuandaa kukabiliana na majukumu yako ya siku nzima na pia husaidia kuandaa akili yako kuwa katika hali nzuri
 
akini tunafahamu wengi wanaamka asubuhi sana kuwai kazini ili kujiepusha na foleni za barabani au kazi zao zinawazalimisha wafike mapema ofisini hivyo kukosa muda mzuri wa kufanya mazoezi asubuh
 

Attachments

  • hand-tap-pushups.gif
    hand-tap-pushups.gif
    2.2 MB · Views: 24
Leo tunakuletea mazoezi 7 marahisi ambayo unaweza kufanya ndani ya dakika 15 dakika tu unapoamka asubuhi hapo hapo nyumbani kwako, mazoezi haya hayahitaji vifaa wala hayakuhitaji uwe katika sehemu ya mazoezi(Gym).Ndani ya dakika 15 tu unaweza fanya mazoezi haya na kufanya siku yako kuwa njema zaidi kimwili na kiakili pia.
 
Back
Top Bottom