Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndiyo maana wengine tumetulia huku. Nikitaniana hapa huko kwingine naenda kuangalia mapovu na ishu ndogo ndogo basi naishia hapo...But again kila mtu na lwake na si sawa kupangiana mambo. Huyo dogo nadhani kuna kitu zaidi kimemkera na siyo hayo mapenzi pekee....
Labda ila daima ukweli ukiwafikia walengwa wataumia,itakua kuna point au mahali wamemkwaza kaamua kuwapa makavu kutoa ya moyon
 
445217117_297133.jpg
 
Back
Top Bottom