myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kweli...Watu bado hawajaelewa lengo kuu la huu uzi. Ni kutoa likes tu.
Poa sana
Umeadimika mnoo hadi naanza kukusahau
Na sababu nyingine nyingi[emoji2][emoji2]Hahaha Ilala boma kumbe imesababishwa na michepuko
[emoji23][emoji23][emoji23]hata usimsingizie bhanaPoa jirani...syb analeta sura na viun0 mpaka tunajikuta tunaposti bila kusoma..
Number unayopiga haipatikani naona number ya gari hiyoUnajua kuna watu watajaribu kupiga hiyo namba right?
Yaani acha tuYaani, tena ningekuwa Makonda, kila ninayemuita pale kwa shutuma hizo wangekuwa wanachezea bakora kwanza ndo mengine yanaendelea..
Kweli jirani...picha zake zinatisha...[emoji23][emoji23][emoji23]hata usimsingizie bhana
Basi acha nianze kukusahau ulainike.[emoji15][emoji15][emoji15]...Ukinisahanu nitakuwa MLAINI mpaka unikumbuke! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550]
Anaeposti matusi na dhihaka kwa mwingine anafungiwa kama tuMuwe mnasoma na mnavyo LIKE, utalike kumbe jamaa anasema anataka akupumulie kisogoni
Fumba macho jiraniKweli jirani...picha zake zinatisha...
Basi acha nianze kukusahau ulainike.
Sawa jirani[emoji16][emoji16][emoji16]Fumba macho jirani
Kasema carbamazepineKumbe?