Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,118
[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]Ed-sheeran - thinking out loud[emoji445] [emoji445]
[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]Ed-sheeran - thinking out loud[emoji445] [emoji445]
Bro, unaongelea nini?Ndom usiyoiona mpaka ukisha fanya ngo
Hawa jamaa walikuwa wanajua kias kwamba hadi kijijini kwetu huko nguo za Bulls zilifika.[emoji1] [emoji1] [emoji1].Chicago Bulls hile haitapata kutokea like Spain World cup south Africa 2010
Hahahahaha mkuuNandy amemfanya Makonda asisikike kwa siku mbili.Nimejaribu kuangalia video hiyo mara mbili,sijaona chochote cha kusisimua,nimeona ni kama mkaka kamlaza mtoto mchanga tumboni.
Au ule mkono kwenye chupi? Maana vitako vyenyewe vidogo utadhani ndimu za kiangazi.
Perfect -Ed SheeranNight changes - One direction
Hahahahaha
Ndimu za kiangazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nandy amemfanya Makonda asisikike kwa siku mbili.Nimejaribu kuangalia video hiyo mara mbili,sijaona chochote cha kusisimua,nimeona ni kama mkaka kamlaza mtoto mchanga tumboni.
Au ule mkono kwenye chupi? Maana vitako vyenyewe vidogo utadhani ndimu za kiangazi.
HahahahahaMechi za vichekesho- kombe la Europa
26/4TanzaniaaaaaView attachment 743630
Hii nime isikia kwa mtangazaji wa Azam yaan nilicheka mpaka nika kaa chiniHahahahaha
Night changes - One direction
HahahahahaLooooh why?View attachment 743629