Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haya mambo yanaiweka CHACHAWA katika wakati mgumu sana bro...
Bro umeniambukiza mafuta kwa sasa nayasaka kwa udi na uvumba sitaki tena vinandi nandi
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Tu leiti
Heeeeeh!![emoji134] [emoji134] [emoji134]
Ngoja nianze safari ya kwenda kutubu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi nimekosa cha kuandika khaaa
 

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na hao tuu idioti wakikutana ni shida sana.
Ila mkuu jana uliniharibia siku.Mwenzio nimetoka kwenye maombi,baada ya shughuli zingine nikaingia kwenye uzi wetu pendwa...mara paaap...picha hii hapa umeitupiamo
Niwe mkweli,nikaangalia hiyo mofoloji,mekanizimu hapo kwa nyuma[emoji120] [emoji120] uliye juu,imani yangu ilitetereka...

Siku nyingine uwe unanishitua mapema,hata kwa Paul Makonda nishitue..."shemeji leo usije hukuu...kuna mitegoo"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…