Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20180413-WA0067.jpg
 
Hebu naomba picha tafadhali ya vitako kama ndimu za kiangazi[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani sijui mkoje mkoromije kaja hapa kasema vikalio kama kiporo cha ugali wa mtama[emoji23][emoji23][emoji23]daah!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ugali wenyewe ulio terekezwa na watoto watukutu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani Shimba kanifanya nicheke bila adabu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na hao tuu idioti wakikutana ni shida sana.
Ila mkuu jana uliniharibia siku.Mwenzio nimetoka kwenye maombi,baada ya shughuli zingine nikaingia kwenye uzi wetu pendwa...mara paaap...picha hii hapa umeitupiamoView attachment 743734
Niwe mkweli,nikaangalia hiyo mofoloji,mekanizimu hapo kwa nyuma[emoji120] [emoji120] uliye juu,imani yangu ilitetereka...

Siku nyingine uwe unanishitua mapema,hata kwa Paul Makonda nishitue..."shemeji leo usije hukuu...kuna mitegoo"
Pole kwa misukosuko shemeji. Ukatibu wa CHAWAMITA nilimkabidhi Bilionea Asigwa. Ajabu naye haonekani. Jana nilikuwa naaga aga. Soon nitaweka tangazo hapa la kuachana kabisa na mambo haya....

Hili wese hata hivyo ni la bandia. Kashindilia nyama za nguruwe ndiyo maana halina uwiano na mapaja. Link yake ya IG hii hapa:
 
Back
Top Bottom