[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mashing'weng'we. Una Kumbukumbu nzuri sana. I am impressed...!Yaani haka ka wimbo sijawahi kukachoka.
Aliyeimbiwa anaraha sana.
Mashing'weng'we sijasahau[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mimi siendi ng'oooo kama dhambi tugawane tu[emoji23][emoji23]Nendeni nyie mkatubu. We na shogako. Yaani mkifanya hivyo tu mtaona mabadiliko makubwa sana !!!
Pouwa asee umepotea sanaNipo best
Mambo
ThanksKaribu sana queen treezzy
Njoo tu nikulainishe tuzike CHACHAWA mazimaI’m all by myself now. Damn!
Kwa hiyo you wanna teki ova the whole thing? Mi Ukatibu Mkuu umenichosha. Ukiwa kama Mwenyekiti itakubidi utafute Katibu Mkuu mwingine...!!!Shemeji usiondoke kwenye chama,ai kani hando iti.Picha kidogo,maombi kwa kiasi... Ndio,bora nikutane na majaribu humu kuliko oni ze rodi....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shemeji usiondoke kwenye chama,ai kani hando iti.Picha kidogo,maombi kwa kiasi... Ndio,bora nikutane na majaribu humu kuliko oni ze rodi....
Nipo huku siku hiziPouwa asee umepotea sana
Nimeghairi sitaki tena[emoji23][emoji23][emoji23]Basi neksiti taimu nitonye ili nije mwenyewe nikufungulie geti...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mshuke muende wapi? Mna pa kwenda? 2020 Ufipa madarakani rais Toto Tundu na kila kitu kitakuwa sawa. Be patient !!!!Water water war IIView attachment 743782