Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ooh really?
Sad[emoji53] [emoji52] Sijui wanawake wengine wanatoa wapi ujasiri Wa kutelekeza mutoto
Hujawahi waona wanawake wa hivyo?
Wale wanaozaa na kunyonha ama kutupa vichanga je??

Anyway hilihisi hivyo kutokana na ishu ya watu kuitwa kwa makonda sina uhakika kama ni kweli katelekezwa(japo inawezekana)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…