carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Halafu kametelekezwa[emoji22][emoji22]Katoto kazuri[emoji7]
Halafu kametelekezwa[emoji22][emoji22]Katoto kazuri[emoji7]
Oooooh. Hata sifungui geti sasa. Naling'oa kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heeeee[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Yaani nilimaanisha naenda chukua blanketi nije[emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125]
MiguuTanzania hiiiii[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 743831
[emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji8][emoji8][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Pipii za kumumunya
Anadai ni lake kabisa kazaliwa nalo...
Hapo sawa best...Naijua rafiki samahani
kuanzia kesho itaendelea [emoji4]
Lala salama Beef. Endelea kuuchangamsha uzi huu. Safi sana !!!Usiku mwema
Weekend leo bwana naona hali ya hewa hairuhusu kutoka hii mvua imekua kikwazo mkuu
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Anadai ni lake kabisa kazaliwa nalo...
Mwenyekiti kakosea ameonja wese [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utakufa pekeyako[emoji23][emoji23]mwenyekiti kaasi chama