Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Katoto kazuri[emoji7]
Weekend leo bwana naona hali ya hewa hairuhusu kutoka hii mvua imekua kikwazo mkuuHuku Mungu anasiadia,
Vipi weekend leo hatutoki ??
Inshallah nitakuwepo shem...Ukuje basi[emoji23][emoji23]
Kesho tunazika CHACHAWA mazima na matanga tunalala[emoji9][emoji9][emoji10]
Wanaume wa mikoani wapigwa na,wake zao[emoji23][emoji23][emoji23]Wahehe wakali wenye hasira na wasiokawia kujinyonga wanapigwaje na wanawake?
Hiyo miguu vipi? Mlemavu ama? [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️How? Msaada tutaniView attachment 743811
Naijua rafiki samahaniSio mpaka unione kwani hujui ile kanuni yetu bhn?
Tanzania hiiiii[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Likely South Africa hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pipii za kumumunya[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]View attachment 743822
Deep !!!It doesn't matter if you're fine wine or cheap beer, both will test the same if tested by a fool[emoji299]
Na kwako piaUsiku mwema
Wabongo katika ubora wetu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]