2.Nimemsikia Mtu Akisema Wazo Hili Kabla?
Uko tayari kwa ufunuo? Wazo lako linaweza lisiwe lako! Kwa hio sauti nyingi ndani ya vichwa vyetu ni mwangwi wa watu wa ulimwenguni, zinarudia kwetu. Tunasikiliza kwa wazazi, mume au mke, bosi wanavyosema negative things , na tunayachukua kama vile ni ya kwetu. Kama hii ndio kesi yenyewe, acha yaende zake.