Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kihistoria mchaichai ulianza kulimwa nchini ufilipino mnamo Karne ya 17 baadae ukaingia katika nchi ya Haiti mwaka 1799 ambapo huko kilimo kilikuwa sana hadi mwaka 1917 Baadhi ya wataalam wa mimea wakaanzisha mashamba ya mchaichai kwa ajili ya utafiti Nchini marekani, miaka ya 1947 soko la mchaichai ukarasimishwa katika jimbo la calfonia.
 
Mchaichai una virutubisho mbalimbali ambayo ni muhimu sana kwa afya ya binadamu kama vile Vitamin A,B1 (thiamine ),B2(Riboflavin ),B3 (niacin ),B5 (pantothenic acid ),B6 (pyridoxine),folate na vitamin C pamoja na madini ya potassium, madini Chokaa, magnesium, manganese, Copper, zinc na phosphorus.
 
FAIDA ZA KUTUMIA MCHAICHAI

1.KUSAFISHA FIGO NA MKOJO

Mchaichai una kazi ya kusafisha figo ambayo kazi yake kubwa ni kusafisha damu katika mwili, kuondoa mafuta mabaya mwilini ambayo mengi yanatengenezwa na kemikali za viwandani na hivyo mwili kushindwa kuziondoa na baadaye kusasababisha magonjwa mbalimbali.Figo inapokuwa safi na imara,hata kazi nyingine kama kusafisha mkojo zinafanyika
kirahisi
 
5.HUUPA MWILI KINGA DHIDI YA UGONJWA WA SARATANI.

Mchaichai umegundulika pia unauwezo wa kuua seli zinazoweza kusababisha ugonjwa wa saratani.Kwani kwenye gila gram 100 ya mchaichai kuna virutumbisho ambayo vinaweza kuondoa na kuukinga mwili dhidi ya sumu ambayo inasababisha ugonjwa wa saratani.
 
6.KUONDOA MLUNDIKANO WA MAFUTA KATIKA MISHIPA YA DAMU

Mchaichai husaidia kuondoa mafuta katika mishipa ya damu hivyo kuruhusu damu kupita vizuri katika sehemu mbalimbali za mwili na kuifanya mishipa hiyo kuwa na afya njema.Pia kusaidia mapigo ya moyo kuwa katika hali nzuri wakati wote.
 
JINSI YA KUTUMIA MCHAICHAI

Kupata faida hizi unashauriwa majani ya mchaichai yalowekwe katika maji ya moto kiasi cha vikombe vitatu vya chai, weka majani ya mchaichai kisha kunywa maji hayo kiasi cha kikombe kimoja cha chai kabla ya kula chochote asubuhi, mchana, nusu saa kabla ya mlo, na jioni kabla ya chakula cha jioni.Pia unaweza kutia sukari kwa kiasi kidogo mno. Unaweza fanya jambo hili kuwa endelevu kwa kutumia chai ambayo imepikwa kwa majani ya mchaichai mara kwa mara.
 
Back
Top Bottom