moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mkuu habari yakoKIDUMU CHACHAWA KIDUMU
Mkuu habari yakoKIDUMU CHACHAWA KIDUMU
Mashabiki wa liver wabishiiiii huwez kuwashinda wanamuamin salah hahahahYaan kumfunga Porto ba City tayari mnajipa ubingwa.
Mweeeh!
Wameshalegea wagumu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]cc wagumu
Ila nimekuelewa bwanaHaya bwana..
Nilitamani sana hii semifinalNyie Madrid mngepewa liver ingekuwa powa sana
Kweli kabisaIla nimekuelewa bwana
Ni rahisi nyie wanawake kuambiana mnapendana
Ila kwetu sisi its awkward
Tunge wakaanga nyinyi mpaka mngekomaNilitamani sana hii semifinal
Karibu tuile weekend mkuuWeekend inasemaje??
Niko poa LinamoNimekaribia kijiweni rafiki. Uko poa wewe?
Allan Quertermain a British version of Indiana Jones!"Allan Quaterman and lost city of gold"
Ila kwa wanawake wengine wakiambiana hivyo kuna namna nyingi,kuna mwingine anaweza kuambia hivyo kumbe anakupenda kikwel kweli lesbian mtu unaitikia tu bila kujua umekubaliana nae kwa maana yake sio yakoIla nimekuelewa bwana
Ni rahisi nyie wanawake kuambiana mnapendana
Ila kwetu sisi its awkward
MkuuKama kawaida
Naona anakurupukaHatua aliyofika ujastuka tu kwamba kuna mambo sio ya kawaidah
Wenzetu wanaitanaga hadi darling etiKweli kabisa