Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakati wa ujenzi joketi alikua anawasimamia mafundi na maelekezo kibao ujenzi umeisha taishi mwanamke mwingine aiseeee
 
Ndoa itafungwa Aprili 19 hapa Mombasa na kule Dar itakuwa Aprili 29, shughuli nzima inasimamiwa na marafiki zake wa karibu akiwemo Joho (Sultan),” kilisema chanzo chetu.

Hivi karibuni mkali mwingine wa Bongo Flava, Ambwene Yesaya a.k.a AY alifunga ndoa na mpenzi wake wa siku, ambapo alifanya sherehe mbili moja kule Kenya na nyingine hapa Tanzania.
 
Hiyo nyumba ya tabata ndo ile wanasema jokate alikuwa anasimamia ujenzi??
 
Kama shule niliyosoma walah tena.
Ukikamatwa na chilli sause ile unaambiwa unywe hadi iishe[emoji23][emoji23][emoji23]daah!
Yale maisha hapana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari kabisa ila hivyo vitu tuliingia navyo kibishi hasa kwenye sindiria unaondoka shule kwenda hosp kifua kidogo unarud pametuna kwa asiyekufaham anahisi ni maziwa yako yapo hivyo kumbe kuna magenfo humo hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…