Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nilikuwa nakwenda na michembe kibao boarding school. Unatafuna halafu unasukumizia na maji. Wakati wengine wanapiga miayo kwa sababu njaa mi tumbo liko ndiiii !!!
Boarding yetu hata jojo inaweza kukufukuzisha shule. Vitu vitamu ni vya uraian shule ni kusoma na kula makande,ugal harage,wali mara mbili kwa wiki
 
Kukatika umeme!!! Hata mitaa hiyo umeme unaweza katika kweli!!!
Nikiwa Koromije mkuu. Mitaa hii haukatiki pengine kuwe na dhoruba. Ukikatika bila sababu basi mtaelezwa sababu na muda utakaorudi. Na wakorofi wakiunguziwa vifaa vyao vya umeme wanaweza kushitaki na kulipwa fidia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom