Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

JAMANI MIMI NAOMBA LIKE TU KAMA ELFU 10 HIVI ASANTENI SANA,
LIKE
LIKE
LIKE
LIKE
LIKE

DUiBaiRXkAAXq3y.jpg
 
Asante Numby. Carba. Hizi ndo michembe. Viazi vinachimbwa vinaanikwa juani. Vikimaliza utomvu vinakatwa katwa halafu vinaanikwa juani. Vikikauka vinahifadhiwa na baadaye vinapikwa. Kwa kawaida vinaliwa na maziwa, chai, soda na aina nyingine ya drinks. Wakati wa kiangazi ni chakula cha kawaida hasa mchana...
Anha sawa,nilijua ni mihogo iliyokaushwa na jua(kwetu tunaita makopa)
Asanteni kwa kunitoa ushamba
Numbisa
 
Asante Numby. Carba. Hizi ndo michembe. Viazi vinachimbwa vinaanikwa juani. Vikimaliza utomvu vinakatwa katwa halafu vinaanikwa juani. Vikikauka vinahifadhiwa na baadaye vinapikwa. Kwa kawaida vinaliwa na maziwa, chai, soda na aina nyingine ya drinks. Wakati wa kiangazi ni chakula cha kawaida hasa mchana...
Huwa nabebena(tafuna)hivyo hivyo ila napenda sana matobolwa kwa chai
 
Back
Top Bottom