Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ndioo it defines both sides[emoji4]Sometimes it defnes who the are jaman
HahahahaPOW huyu. Vita imo damuni....
Kwa lugha nyengine umenikatalia[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Numbisa alishawahi kutoa somo humu kuwa kuoga maji vuguvugu ni hatari kwa afya. Ya baridi yanatosha !!!
HahahaaNdioo it defines both sides[emoji4]
Phobia yako hiyo mkuu. Imagine umeulamba na tai juu kumbe tandu yumo ndani ya shati halafu unamsikia anatambaa tambaa?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimejikuta najikagua nguo bila mpangilio. Mdudu hovyo sana huyo.
Utakubali kufanyiwa massage na mikono migumu?Hiyo ni conundrum.
Kushinda shambani kupalilia nyanya na mpunga ndo itaweza?
Nimekurahisishia kazi. Sitaki uteseke !!!Kwa lugha nyengine umenikatalia[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi kinaweza kuziba kweli?
Kama kina utelezi wa kutosha hakiwezi kuziba(hata sijui mnaongelea nini?!!)[emoji16][emoji28][emoji28][emoji23], Kitaziba..Ohoooo
Mmh!![emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mfungwe tena na leo[emoji12][emoji12]
Ni mihogo iliyokaushwa na jua ama??