Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_3377.JPG

[emoji123]
 
Juzi ilikuwa Mshana Jr leo naona kokoro limetukumba wanaume wote. Mrs. Jr naona tayari moto keshauwasha huko.

Na nyie mabinti sometimes haya mambo mnajiletea tu wenyewe. Mbona usijipe muda wa kumwelewa kwanza mtu ndiyo uchukue maamuzi ya kwenda kuonana naye? Na kwa nini umtumie picha zako za uchi mtu ambaye humwelewi sawasawa? Hata kama unamwelewa sawasawa, kuna ulazima wa kufanya hivyo? Faida yake ni nini?

Mimi naamini kabisa kuwa haya mambo yanafanywa na maandaeitini (vijana below 25). Wengi wapo mashuleni na vyuoni huko na huu ndiyo wakati wao wa kupitia hiki kipindi. Siamini kuwa mtu mzima ( above 34) anaweza kuja humu na kuanzisha uzi wa kumdhalilisha binti wa watu no matter what.
 
Yes bado watu wengi hawajielewi na wanakurupuka
 
Mimi wakati mqingine hata sielewi kwakweli.
Sijui ndo kupenda?
Sijui ndo upofu na kumuamini mtu kupita kiasi?
Sijui ni utoto ama ujinga?
Bado sijapata jibu kwakweli,ama yawezekana ni kutokujitambua.
Haya mambo bhana sijui hata nisemeje.
Yaani unaanza kumtumia mtu utupu wako,hizi akili sijui zinatokaga wapi.
Hakuna ulazima wa kutumiana picha kwanza za kazi gani?kama unataka konokono sijui dushe nenda kalione live,huu utandawazi unatuacha wazi kwakweli.
 
Yuko vizuri sana kwakweli anafaa kuwa mwalimu
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]. Ualimu ndiyo kazi mama kwa sababu elimu pia ndiyo mkakati mama katika maendeleo ya taifa lolote hapa duniani. Afrika walimu wanadharauliwa sana lakini katika nchi zote walizoweza kuendelea wanatambua umuhimu wa elimu na walimu wanaheshimiwa mno. Nchi za Skandinavia huko kuingia chuo cha ualimu ni mpaka uwe on top of your class. Ni rahisi kwenda kusomea udaktari kuliko kwenda kusomea ualimu. Let that sink in....
 
Mimi wakati mqingine hata sielewi kwakweli.
Sijui ndo kupenda?
Sijui ndo upofu na kumuamini mtu kupita kiasi?
Sijui ni utoto ama ujinga?
Bado sijapata jibu kwakweli,ama yawezekana ni kutokujitambua.
Haya mambo bhana sijui hata nisemeje.
Yaani unaanza kumtumia mtu utupu wako,hizi akili sijui zinatokaga wapi.
Hakuna ulazima wa kutumiana picha kwanza za kazi gani?kama unataka konokono sijui dushe nenda kalione live,huu utandawazi unatuacha wazi kwakweli.
Kweli jirani...
 
Back
Top Bottom