carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Amna bhana natega mitego yangu hapo[emoji23]Ushaanza kuniwangia! [emoji6]
Kwema?
Amna bhana natega mitego yangu hapo[emoji23]Ushaanza kuniwangia! [emoji6]
Poor Chelsea....Fulltime Sou 2 Chel 3
HahahahahYale mambo yanayohusu lile swali la Kijana Mpole ndiyo huwa yananitoa kwenye mstari. ASANTE !!!
Itakuwa mwanzon mwa mwaka ujao[emoji23][emoji23][emoji16] [emoji16] [emoji16] hicho kilimo mavuno yake mwsho wa mwaka na mwanzoni wa mwaka ujao
Chelsea na Arsenal wa hapahapa' hawana chao ligi ya mabingwa..Poor Chelsea....
EwaaaaaaaPolee tutakuskrinishutiaa
Pawa benki nayo ni mpaka ukumbuke kuiwekea pawa. Ninazo tatu lakini kila siku umeme ukizimika nakuta hakuna hata moja iliyo na pawa so wote tu tunabakia kuwa pawalesi..Carba jipige pige ununue pawa benki itakusave muda kama huu
Sijui ndo mapenzi upofu,daah!Yes bado watu wengi hawajielewi na wanakurupuka
Amna bhana natega mitego yangu hapo[emoji23]
Kwema?
Kwenye ulaivu huko ndiko wanakopigwa picha pia...Mimi wakati mqingine hata sielewi kwakweli.
Sijui ndo kupenda?
Sijui ndo upofu na kumuamini mtu kupita kiasi?
Sijui ni utoto ama ujinga?
Bado sijapata jibu kwakweli,ama yawezekana ni kutokujitambua.
Haya mambo bhana sijui hata nisemeje.
Yaani unaanza kumtumia mtu utupu wako,hizi akili sijui zinatokaga wapi.
Hakuna ulazima wa kutumiana picha kwanza za kazi gani?kama unataka konokono sijui dushe nenda kalione live,huu utandawazi unatuacha wazi kwakweli.
Kilimo cha mapacha. I like that [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Dah!pole sana huku kuna kamvua ka kujibebisha na kilimo cha mapacha ndo kitapendeza zaidi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] kilimo cha mapacha kinapendeza zaidi maana si kwa mvua hzItakuwa mwanzon mwa mwaka ujao[emoji23][emoji23]
Jirani wewe...Kweli jirani...
Ndoa hz bado zipo mkuu?Poleni mnaolea nyumbani