Ulikwenda kusali au upo unakula likes tu?14:58
Niko salama kamanda. Sijawasahau [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Salama kabisa kaka ..madogo wanazidi kwenda juu tu ..[emoji3] [emoji3]
Natumai uko salama mkuu.
Kumumunyaaaa...Siyo wakati wa kumumunya?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Kayenze hata uwe na vituko, who gives a damn!? Benten wa Kayenze? Wala hainogi aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa jirani...Mvua imepungua huko Upareni?Kumumunyaaaa...
Usiku
Mwakaleli njoo mkuu. Kuna mtu anakutafuta huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zigo hilo [emoji15][emoji15][emoji15]View attachment 745290
Nilikwenda kusali ibada ya kwanza kabisa..Nimerudi kula likes..Ulikwenda kusali au upo unakula likes tu?
Na kwa vile ungali umetakasika, likes utakula mpaka uchoke leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikwenda kusali ibada ya kwanza kabisa..Nimerudi kula likes..
Basi upo vizuri [emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji28], huwa si mwepesi wa kusahau nilichoahidi[emoji16][emoji23][emoji23][emoji28]