Kwema lakini?Nimeona !!!
Angalia like niliyokupa baada ya hii utaona hahahaNimefanya nini tena jamani?
Naingia kanisani in 10 minutes. Kiseme kabisa ili nacho nikakitubu moja kwa moja. Sitaki madhambi mimi [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kwema kabisa. Huko mnaendeleaje? Umeshasikia lolote kutoka kwa Jakitoo?Kwema lakini?
Hapana mkuu, kitoto halisi.Mdori au kanapumua?
Kizuri eeh?Aaaww[emoji7] [emoji7] [emoji7]
NanukuuKwa sisi wagumu pozi kama hili wala halina shida hata uwe na msambwanda wa aina gani. Wagumu hoyee !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tena kabisa. Nitaomba anitag ili nitest zali la ugumu wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sanaa yani nimekitamani[emoji7] [emoji7] [emoji7]Kizuri eeh?
Hatujambo kabisa Mungu ni mwema.Kwema kabisa. Huko mnaendeleaje? Umeshasikia lolote kutoka kwa Jakitoo?
Do you have kids? I can give you one of such kind if you want.Sanaa yani nimekitamani[emoji7] [emoji7] [emoji7]
Yupo wapi?Hatujambo kabisa Mungu ni mwema.
Jakito yupo anakusalimia kasema kakumiss
Faundesheni imekubali kwa mtoto wa Kinyarwanda/Kihabeshi....
Ugumu ili ukomae ni lazima upite katika majaribu. Almasi bila pressure na moto ni makaa ya mawe tu [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Nanukuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]