[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28], nasubiri
Asante BAKOk, pole sana wengi hatukutegemea wapoteze huu mchezo leo
Nini hizo tena????Yaan zikimkamata zile nanii anakuwa kama sio yeye[emoji23][emoji23]
Nataka mtoto wangu nimuite MAKINIKIA eti imekaaje wadau wakilipenda watu kumi tu imepita hiyo!
Die hard fan sasa huwezi tena kujitoa ndio ushanasaBest acha tu u die hard fan ni shida washa nijitoe huko
Unataka mto na blanket, na nini kingine???Nawish zingekuwa zabadilika kuwa mablanketi na mito...