Nimeokota mtandaon sijui ni wapHii jangwani am?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sijawahi kukukosea mkuu. Huwa huna shida na mtu. I respect you !!!Braza mi nime kusamehe
Kuwa na amani tuu
[emoji124] [emoji124] [emoji124]Braza nakuona unafanya lobbying
Mumchukue huyo
Mkifulia atahama tena
Simaanishi kula likes yani nasemea chakulaNdio nakula rafiki
Ni jangwani yes...Nimeokota mtandaon sijui ni wap
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Umelipwa sh ngapi mkuu na Wanalumumba?Lowassa ni baba yangu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Poa tu,
Msalimie yeyote yule[emoji41][emoji41]