Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama ni hivyo basi tutasifia mpaka tuchoke. Huku kwema. Leo nimehubiriwa neno limeniingia mpaka rohoni kabisa. Ni kama vile mchungaji alikuwa abaongea na mimi. Mpaka nimeogopa. Halafu kanisingo out na kuniambia nisimame. Mpaka sasa bado naelea katika upako na siko sawa shem...[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Oni mai wei shem
 
Ajali Uso kwa Uso Kisesa Usiku huu gari hazisogei kabisa.
IMG-20180415-WA0060.jpg
 
Back
Top Bottom