Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23]
IMG-20180415-WA0027.jpg
 
Naomba nikwambie kwamba, maisha bado yapo rahisi vile vile kama tulivyokuwa tunayaona utotoni na kila siku yataendelea kuwa hivyo milele.
Tofauti iliyopo ni kuwa tumeongezeka umri na hata maumbo yetu yamebadilika, na jinsi tunavyoongezeka umri ndivyo tunavyozidi kuyafanya yawe magumu
 
Tuliwapenda watu waliokuwa wanatuonyesha tabasamu. Tuliwakimbia waliotuonyesha nyuso za kisirani. Tulikuwa tunakula pale tunaposikia njaa, na kunywa pale tuliposikia kiu na kulala tulipojisikia kuchoka.
 
Back
Top Bottom