Serikali inazidi kurundika tuu siku ikitangaza ajira wafike ofisini waashangaaHahahahaaa
Wamenikumbusha zile uhamiajii pale uwanja wa taifa
Nadhani na bongo tutafikia huko soon
Kazi moja applicatns milion 4
Ndiyo, niongezee blanket
HahahahaMmnh[emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji58] [emoji58] [emoji58]Hahahah
Byeeee
Hata mimi ninayo tena ghali ila haifanyi kazi. Nisipoiona halafu natoka mtoko unaahirishwa. Mazoea mabaya sana !!![emoji23][emoji28][emoji38], saa pambo.
Na hii pia "If this isn't love"Aki si umenikumbusha wewe ngoja nikautafute
Yegoooooooooooo !!!
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120], Ubarikiwe. Baridi kali kama hii.Nakuletea saa hii! On my way. [emoji1][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]