Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama anaowaamini wanakataliwa vbaya na kwamba hawafai alafu walioupande wake pia wanamkosoa na mwisho kabsa walioupande ambako yy hataki ndio kabsa wanasikilza kauli na mabadliko yake ya kila siku sasa huyu anaweza akakimbilia kusikojulkana
 
Anastahili Mkuu ila siamini jinsi CAVS wanavyonyanyaswa kwao hii quarter ya kwanza.
Leo umeme hakunaaa
Na ndio mechi hoyo nilikuwa naisubiriii

Labda ntachek baadaye ya Jazz na OKC.

Sema nao Pacers wakijisahau wata potezwa pia
 
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
FB_IMG_1521745570270.jpg
 
Kama anaowaamini wanakataliwa vbaya na kwamba hawafai alafu walioupande wake pia wanamkosoa na mwisho kabsa walioupande ambako yy hataki ndio kabsa wanasikilza kauli na mabadliko yake ya kila siku sasa huyu anaweza akakimbilia kusikojulkana
Mkuu unaongelea nini. Najaribu kufuatilia lakini sielewi. Ni mambo ya jukwaa la siasa ama? Karibu tule likes...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom