Lukaku Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 843
- 740
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji28], kanyaga twende mzee babaMnaongelea jiwe gani wakuu? Lile kuu la pembeni lililokataliwa na waashi ama?
Leo umeme hakunaaaAnastahili Mkuu ila siamini jinsi CAVS wanavyonyanyaswa kwao hii quarter ya kwanza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha
Hiyo dhambi mi sijashiriki ujue
Ni ya kwako tuu
Mwanafalsafa wa Ugriki ya kale. Alikuwa comedian basi akatunga kichekesho kimoja kikamchekesha mpaka akafa !!!Ndio nani aureliasi
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji23],Kuna jamaa kule Mbeya alicheka hadi akafariki
Mkuu unaongelea nini. Najaribu kufuatilia lakini sielewi. Ni mambo ya jukwaa la siasa ama? Karibu tule likes...[emoji23][emoji23][emoji23]Kama anaowaamini wanakataliwa vbaya na kwamba hawafai alafu walioupande wake pia wanamkosoa na mwisho kabsa walioupande ambako yy hataki ndio kabsa wanasikilza kauli na mabadliko yake ya kila siku sasa huyu anaweza akakimbilia kusikojulkana
HuhuhuhuHahahah
Kwetu hutaki
Halaf washabiki wa huko inaonekana wangependa uwe nao.
Ile city ni kemp ya ushindi ujue
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Nothing[emoji16]Waat!?
[emoji23]
Oooooo jamaniiiii !!![emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 745760
Sumbawanga ama? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 745759