Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Una hatari weye! Kisses zote hizi za moto moto unataka niwangiwe na kurogwa!? Naogopa mie Demiss LOL! 🙂🙂
Kiss za upendoo rafikiii[emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]
 
Naelewa rafiki upendo huzaa upendo, ahsante sana. Always very appreciative.

Kiss za upendoo rafikiii[emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]
 
Mkuu wa Stoke Paul Lambert anaamini timu yake ilio katika nafasi ya 19 inaweza kuepuka kushushwa daraja iwapo itaiga maadili ya kimchezo ya mtangulizi wake Billy. (Times)
 
Meneja wa Arsenal Arsene Wenger anasema daima amekuwa akimtaka mchezaji wa kiungo cha kati wa Misri Mohamed Elneny asalie katika klabu hiyo, akieleza kuwa mchezaji huyo anaanza kuonyesha mchezo mzuri. (Independent)
 
Meneja mkurugenzi wa Atletico Madrid Clemente Villaverde anasema hakuna aliyewasilisha ombi kumuulizia mchezaji kiungo cha mbele Antoine Griezmann. Raia huyo wa Ufaransa mwenye umri wea miaka 27 amehusishwa na timu ya Barcelona na Chelsea. (FourFourTwo)
 
Winga wa Bordeaux Malcom amesema anatamani sana kujiunga na Paris St-Germain. Raia huyo mwenye umri wa miaka 21 wa Brazil awali alihusishwa na kuingia Tottenham. (Le10Sport)
 
Manchester City itamuwania mchezaji wa kiungo cha mbele wa Paris St-Germain mwenye umri wa miaka 18 Kylian Mbappe iwapo klabu hiyo ya Ligue 1 itapatikana kuvunja sheria za matumizi ya fedha za UEFA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…