Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Saa tisa kasoro dak 2 usiku uko macho. Jizazi [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Chelsea ina hamu ya kumsajili mshambuliaji wa Bayern Robert Lewandowski, mwenye umri wa miaka 29. Real Madrid pia inamuwania mchezaji huyo. (Daily Star Sunday)