Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Thank you all. Mungu Awajalie siku njema leo na yenye mibaraka tele [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
badc2a9d-1fbb-4b52-ae82-d48af63b7584.gif
 
[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Manchester City imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu England baada ya Manchester United kufungwa bao 1-0 na West Brom.

Man City ilitwaa ubingwa huo baada ya bao la Jay Rodriguez katika dakika 73, na kuunyamazisha Uwanja wa Old Trafford na kuwafanya kuwa nyuma kwa pointi 16 kwa vinara hao.
 
Man City ilipata ushindi mnono wa mabao 3-1 dhidi ya Tottenham kwenye Uwanja wa Wembley jana kuwaacha majirani zao katika presha kubwa katika mbio za ubingwa pamoja na kutibua sherehe katika mchezo baina yao uliofanyika Uwanja wa Etihad.

Man United walitakiwa wasipoteze mchezo wowote ili kuendelea na matumaini yao ya kupata ubingwa msimu huu, lakini mambo yalibadilika.
 
Mvua iliyonyesha jijini Dar es Salaam leo Jumapili ilitia doa mechi za Ligi ya mpira wa Kikapu mkoa wa Dar es Salaam (RBA) baada ya Uwanja wa Ndani wa Taifa kujaa maji.

Mabadiliko ya mechi hizo yaliibua sintofahamu kwa baadhi ya timu ambazo ziliiangukia Serikali na kuiomba kumaliza changamoto ya paa la uwanja huo linalopitisha maji kipindi cha mvua.
 
Mkurugenzi wa Ufundi wa Chama cha Moira wa kikapu mkoa wa Dar es Salaam (BD), Gosbert Boniface alisema mvua ya jana na leo imepangua ratiba ya ligi hiyo.

"Uwanja umekuwa ukijaa maji mara kwa mara na kuelekea kupangua ratiba yetu, Uwanja wa Ndani una changamotoya kuvuja kila mvua inaponyesha na kusababisha maji kujaa," alisema Boniface.
 
TAARIFA za mpenzi wake kumsaliti huenda zikamfanya Khloe Kardashian ajifungue kabla ya muda, kufuatia dalili za uchungu zilizoanza kumtokea.

Mtandao wa TMZ juzi uliweka video iliyomwonyesha Tristan akiwa kimahaba na wanawake wawili na baadaye kuondoka na mmoja kwenda nae hotelini.

Picha hizo zilizonaswa kwenye kamera ya usalama zilipigwa Oktoba mwaka Jana wakati huo Khloe akiwa na ujauzito wa miezi mitatu.
 
Back
Top Bottom