Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakumbuke sheria za uzi wetu pendwa

Inabidi ujue ukitaka like basi wewe comment usubiri like huku wenzako wakiwa wanakupatia pia.

Note ukiwa na comments 20 labda pages 2 za wenzako mtu akicheki haoni umelika yoyote karibu hata na ulipopost au kwingine

Basi jionee aibu usepe,

Kama unapenda burudani ni humu, like nawe ipate like

Kila mtu anafurahia burudani, sio lazima uwepo siku nzima unaweza kwenda na kuja kuanzia ulipoishia...

Najua unaweza kuta mtu hakupi like basi ukiamua kutompa ni sawa tu ni uamuzi wako.. kama inakukalisha humu kwa furaha.

Roho nyeupe, usiwe mziviaji hiyo skill hatuitaki hatuwezi kuitumia maishani ni mbaya usituleteeee eeeeeeeh

Lingin
Kuna mashindano ya kushika namba tamu

Test ni kuwa na post yenye namba 70,000 au 80,000 au 90,000 hizi ndizo zinafaya kwa sasa kabla ya mtihani mkubwa ambao ndio wa 100,000 unafata.

Utafurahia mashindano ni hakunaga uroda yaani posts hata 100 kwa dk1 au 2 zaweza mwagwa humu.

Ukiona watu wameandika road kuelekea 70k ujue ipo karibu

Karibu uburudike

Jaza ujazwe

Kama hautaki kujaza basi usikasirike kimoyomoyo usipojazwa

Uzi wa furaha na burudani

Karibuni

ISIS mtamjua tu, sijui analala saa ngapi😀😀😀
 
Hahahaha coco Chanel
 
Back
Top Bottom