myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Jumatatu ya kununa mpaka SAA 5
Yaanii hadi sio vizuri[emoji23] [emoji58]Hahah!
Watu tulikukalia kooni kweli
Usiwe unakimbia majukumu sasaYaanii hadi sio vizuri[emoji23] [emoji58]
HuhuhuhuUsiwe unakimbia majukumu sasa
Unaitikia tu ngoja nitakufanyia majaribio kama ni kweli..Huhuhuhu
Sawa rafiki angu
EwaaaaaaaaaaaaahNaelewa rafiki upendo huzaa upendo, ahsante sana. Always very appreciative.
HahahahaUnaitikia tu ngoja nitakufanyia majaribio kama ni kweli..
Hahah
Hahah!! Hiyo hatari sana kwakweli..Asanteeee shem leo hali ya hewaaa inatishaaaaa naona shemej amegandaaa kifuani utazani hatoniona tenaaaaaa
Tafadhali njoo mchukue ndugu yakooo
Nakuamini amini ila nataka nikuamini sanaHahahaha
Kwani rafiki huniamini[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Mitaaa y Dom tena nipo msata huku baridi balaa mvua tu za manyunyuuu mida midaaa nataka niende Chalinze nikachukue usafir nirudishe Milonjooo Dom.Hahah!! Hiyo hatari sana kwakweli..
Kwahiyo shem unataka kuniambia na mitaa hiyo Dom baridi linahusika?
Aisee pole sana...Mitaaa y Dom tena nipo msata huku baridi balaa mvua tu za manyunyuuu mida midaaa nataka niende Chalinze nikachukue usafir nirudishe Milonjooo Dom.
HuhuhuhuNakuamini amini ila nataka nikuamini sana
Heheh!!
[emoji5] [emoji5] [emoji5]Cheko lako tu sasa
[emoji23][emoji23][emoji23]
Usiku wa manane kabisa hahaBado kidogo bana, ni 23:26 saa hii! [emoji1]