Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Huku kwema mkuu. Nafurahi kusikia kuwa hata huko mnaendelea vyema. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee msukuma ni tatizo sana.
Siku inaendaje huko? Namshukuru Mungu siku inaenda vizuri
Doh pole nyingi kwake.Muanzisha huu uzi kala BAN
Aliandika nini?Maana kuna uzi mmoja aliandika kitu kuhusu JF
Amen[emoji120] [emoji120]Huku kwema mkuu. Nafurahi kusikia kuwa hata huko mnaendelea vyema. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Tatizo hata ya kwako siijui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ungempa ya kwangu [emoji23][emoji23][emoji23]
Aliandika nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakuambia creativeness itanimaliza .When i ask
bae for a kiss on phone she send this[emoji8][emoji8] it's okay but when bae asks for money on phone I
send [emoji385][emoji389]anasema niko Na mchezo kama mtu anataka kubaki single.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dohMatatizo ya kulala bila nguo usiku baba,mama,na mtoto wame lala
Gafla mtoto kaamka.
Mtoto:mama nataka nikakojoe
Mama:chukua tochi hapo uende
Mtoto:akanyoosha mkono anaanza kupapasa kumbe baba kalala uchi mara akashika uume wa
baba yake akizani tochi
Baba🙁kwa kuzuga)we acha iyo haina betri
Nakuja nimeitwa kidogo
Tupo kamanda. Pwani huko umepona na mafuriko?Habari za jioni wakuu
Doh ila haikuwa mbaya sana labda Mods alikuwa na hasira [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aliandika hivi sweetlee:
Hawa jf wakiona Tu habari ya kumsifu jiwe bila kujiuliza chanzo fasta wanairusha hewani. Wamekuwa Kama tbc
Daamn...Kusema kweli ni uzembe tu. Wikiendi hii utakuwa free?Amen[emoji120] [emoji120]
Mkuu nilikuomba tuongee,ni mwezi umepita sasa. Matuta ya viazi gani hayo mnayo lima huko hampati hata nafasi ya kutwanga "balimi"?