sweetlee
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 4,050
- 14,770
Ungempa username ya hapa JF [emoji23][emoji23]Tatizo hata ya kwako siijui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ungempa username ya hapa JF [emoji23][emoji23]Tatizo hata ya kwako siijui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yero akipiga tena nitafanya hivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ungempa username ya hapa JF [emoji23][emoji23]
Doh ila haikuwa mbaya sana labda Mods alikuwa na hasira [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Yero akipiga tena nitafanya hivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo maana Mods wakapata hasira [emoji23][emoji23]Labda maana kuifananisha JF na TBC ni noma
Aumii miguu[emoji91] [emoji7] View attachment 746466
Yea..karibuDaamn...Kusema kweli ni uzembe tu. Wikiendi hii utakuwa free?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], aaahMatatizo ya kulala bila nguo usiku baba,mama,na mtoto wame lala
Gafla mtoto kaamka.
Mtoto:mama nataka nikakojoe
Mama:chukua tochi hapo uende
Mtoto:akanyoosha mkono anaanza kupapasa kumbe baba kalala uchi mara akashika uume wa
baba yake akizani tochi
Baba🙁kwa kuzuga)we acha iyo haina betri
Nakuja nimeitwa kidogo
Si mchezo. Majibu ya kufyatua
Umejuaje?Huyu mwanamke ni mzuri sana.
Haraka sanaChuki zinaua
Lazima kuna kitu kingine kawatibua. Mods nawapenda hawaangalii makunyanzi hata uwe nani ban wanakutandika tu ukilikoroga. Wanajitahidi sana sema tu watu mapovu nje nje...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo maana Mods wakapata hasira [emoji23][emoji23]
Kwa nini mkuu?Aumii miguu
Dah ila avumilie atarudi tuLazima kuna kitu kingine kawatibua. Mods nawapenda hawaangalii makunyanzi hata uwe nani ban wanakutandika tu ukilikoroga. Wanajitahidi sana sema tu watu mapovu nje nje...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mwanamke maumivu na uvumilivu vinakwenda pamoja. Ukimkuta wakati anavivua atakuwa anatukana balaaAumii miguu