Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Duh i guess upo unaisaka surual ya mwakaleli hahahaMpare anapika wali ama?
[emoji23][emoji23][emoji23],
[emoji28][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]
Nimeanza kuhisi ledada ndiye JT bro. Ameamua kunikimbia kiaina. Roho inaniuma bro. Nilikuwa nimezoea kuitwa dadiii na ule upole dah. Basi tu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro umenichekesha sana daaah
Habari Mkuu Ghazwat karibu hapa kijijini furaha ilioje kukuona tena hapa tena natumaini utakuwa na majibu ya ripoti ya CAGHabari Cole Williams. Hongera kwako kuwepo hapa Kijijini. Ripoti ya CAG ndo imesababisha kurejea hapa.
Jirani ndo kaiweka. Nimekuja kugundua kuwa ni kaburi baadaye sana...Duh i guess upo unaisaka surual ya mwakaleli hahaha
Na ripoti ya CAG inasemaje mkuu [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Ulivyo kandamiza Black Hapo ndio ninaposemeaWewe unasomaga yale maelezo bro?
Sio mbaya picha zozote zifukuliwe tu am okJirani ndo kaiweka. Nimekuja kugundua kuwa ni kaburi baadaye sana...
Kama ka mtu kazima vile[emoji23]