Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Bro eeeehee sio hivyo bhanaBlack people will download a game, Skip all instructions then ask you how it's played
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ASARI AND AST
Let's laugh. Laughing is good !!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] please spare my ribs
Na ripoti ya CAG inasemaje mkuu [emoji16] [emoji16] [emoji16]Ripoti inasema kuna vifo 7 vilivyokwisharipotiwa.
1. Morogoro road imefungwa
2. Barabara ya Umoja wa Mataifa (kati ya Salenda na Muhimbili) haipitiki na vibebi woka
3. Njia ya chini Mbezi beach haishauriwi kupita
4. Mbezi Luis njia ya Goba kuna maeneo maji yanapita juu ya Barbara (tahadhari kubwa)
5. Msasani kama unakibebi woka kiache tu home tumia daladala
6. Ntaendelea kuwapa update baadae.......
TAZARA maji yamejaa magari mengi (bebi woka) yamezimika
7. Mnaoenda Temeke pitieni uwanja wa taifa
8. Bonde LA mkwajuni maji yanapita juu ya Barbara
9. MTO Mzinga umejaa, Mbagala pitieni kwa Kanji
10. Mikumi-Kilosa Morogoro barabara imefungwa
Mkwajuni maji sio mengi sana. Ila wanaoenda kinondoni pale mkwajuni ni changomoto kwa gari la chini
Wewe unasomaga yale maelezo bro?Bro eeeehee sio hivyo bhana
Aiseee ni yako kweliHii tabia ya kwangu kabisaaa[emoji23][emoji23]
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]. Maisha !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niko powa. Ni JT kweli ama? Kama ni kweli, mbona unanitesa hivi? Nimekukosea nini?
Hii itakuwa copy right na mama yake!