ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,468
- 67,492
Na sio baraka tenaMvua zimekuwa tishio
Na sio baraka tenaMvua zimekuwa tishio
Bado ni baraka japo kwa wengine imegeuka maafa.Na sio baraka tena
kweliiHAINA UBISHI UKIENDEKEZA TABIA YA KUONA AIBU MBELE ZA WATU KAMWE HAKUNA FURSA UTAKAYOPATA.
Sema JT. Mambo? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 746313
Tabia hii imekosti watu wengi sana. Lack of confidence na aibu. Vijana wa Kitanzania wana tatizo hili. Kwenye interview ya hizi kazi za Kimataifa yaani mpaka unawahurumia. Wanazidiwa hata na Wanaijeria wenye Kiingereza chenye accent nzito ajabu. Hata sijui tatizo liko wapi !!!HAINA UBISHI UKIENDEKEZA TABIA YA KUONA AIBU MBELE ZA WATU KAMWE HAKUNA FURSA UTAKAYOPATA.
mkuu habari..Bwihi..Bwihi.. Yaani Comment moja tu Likes ni 20?
KweliBado ni baraka japo kwa wengine imegeuka maafa.
[emoji38] [emoji38]Sema JT. Mambo? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️