Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tupendane na kuvumiliana bandugu. Ila wewe rolo modo wewee...
Nawavumilia na kuwapenda nyie tu sio hawa wanaoanza judge my family members utan gani mpaka kwenye masuala ya familia kheee eti kisingizio usiamin kila kinachoandikwa mtandaon makubwa,sasa kama nisiamin why judging me thorough my words tena maneno yenyewe ya copy and paste aiseee
 
Lakini kwa upande mwingine ndoa inakuwa ni balaa na kupoteza maana pale wachumba wanapoamua kuingia katika ndoa bila sababu za msingi wala vigezo vya maana kati yao.
Yaani kila mmoja anaingia na sababu na mkakati wake tofauti na alionao mwenzake.
 
1.UMRI WANGU UNAZIDI KUWA MKUBWA:


Hasa wanawake eneo hili ndio linawagusa sana kwani mara nyingi wanajitahidi kukimbizana na muda,
na wanaweka mkakati kabisa kwamba nikifikisha umri fulani lazima niwe ndani ya ndoa.
 
1.UMRI WANGU UNAZIDI KUWA MKUBWA:


Hasa wanawake eneo hili ndio linawagusa sana kwani mara nyingi wanajitahidi kukimbizana na muda,
na wanaweka mkakati kabisa kwamba nikifikisha umri fulani lazima niwe ndani ya ndoa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
IMG_20180416_140008_314.jpg
 
Wewe wasema ila ndo mnafungukaga hivi hivi na watu wanakulana kiutan utan na kwa kisingizio natania extta careful mkuu
Binti mpole daaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi kijana mpole kuna neno sijaelewa
 
Ya inawezekana unatumia kigezo cha kuwahi kabla hujapoteza muonekano lakini nakuambia wazi kabisa kama unaingia katika ndoa kwasababu hii, andika maumivu siku zijazo.
Si kwamba usipoolewa basi wewe si mwanamke na kwamba ni mbaya, hapana
 
Back
Top Bottom