Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

445311163_297196.jpg
 
Utan,mie na wewe tumeanza utan tangu lin,lile jibu nililokupa bila kujihusisha ilikua sign uweke utan pemben ila ukaendeleza yako no way sinaga utan na kila mtu humu na wanafaham sana so mkuu uwe unajiongeza neno mnonko kwako la utan kwa wengine no way. Eti ukute mwanao anakuita mnonko utachekelea tu aiseee
Hujakosea kabisa mkuu hatuna utani,
Mimi nilikuwa kwenye Context ya Utani na Pyaar bahati mbaya sana na wewe ukahusishwa.
Hili lilikuwa ni kosa kwasababu hatuna mazoea yoyote yale..Usijali bwana sikutanii tena mkuu.

Usipende kuamini kila unachosoma mtandaoni bwana mdogo..
This is the Ocean na unaweza ukampenda mtu asiye sahihi na Kumchukia aliye sahihi.
Hivyo usikasirike buanaaa eeeh😀😀😀 ndiyo mambo ya mitandao yenyewe haya!
 
Back
Top Bottom