Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Dear sister, don’t be deceived by a man who text you “I miss you” only when it’s raining. You are not an umbrella”

[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Atakuwa kazidiwa na baridi huyo sasa anatafuta blanketi linalopumua...
 
852737084_160949.jpg
 
Wewe wasema ila ndo mnafungukaga hivi hivi na watu wanakulana kiutan utan na kwa kisingizio natania extta careful mkuu
Learn the art of not giving a Shit Numbisa.
Its worth your life time...kama unakasirishwa hata na watu usiowajua huko nje ya mtandao unaishije sasa ????
You have to be Thick Skinned bwanaa, mitandao ndivyo ilivyo. Unayayoyakuta uyaache hapa hapa kama yalivyo na kama hayakuhusu yasikusumbue........

NB: Huu ndiyo ushauri wangu kwa watumia mtandao wote...Haya nipe LIKE YANGU BASI.
 
Siwez kukutoa povu ila naweza kukuandikisha gazeti khe khe khee bwahahahahah pole. LIKES ZANGU HUPATI NA WALA HUNIPUNGUZI CHOCHOTE
Ahsante sana ndugu Numbisa 🙂🙂🙂🙂
Japo sijaona kama wewe ni moja watu wa kunitoa mimi Povuuu..Teh teh teh teh teh!
Kuna wanawake wakunitoa mimi Povu lakini sidhani kama wewe una huo uwezo Both Materially and Mentally😀😀
Haya endelea kuboreka basi dada mnoko....(Usisahu kutoa LIKES ZANGU)
 
Back
Top Bottom