Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

852732087_167012.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tupendane na kuvumiliana bandugu. Ila wewe rolo modo wewee...
Come on Shimba,
Hivi umeamini kabisa kwamba mimi nimekasirika hapa kwa huyu ndugu yangu NUMBISA??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hujakosea kabisa mkuu hatuna utani,
Mimi nilikuwa kwenye Context ya Utani na Pyaar bahati mbaya sana na wewe ukahusishwa.
Hili lilikuwa ni kosa kwasababu hatuna mazoea yoyote yale..Usijali bwana sikutanii tena mkuu.

Usipende kuamini kila unachosoma mtandaoni bwana mdogo..
This is the Ocean na unaweza ukampenda mtu asiye sahihi na Kumchukia aliye sahihi.
Hivyo usikasirike buanaaa eeeh😀😀😀 ndiyo mambo ya mitandao yenyewe haya!
Wewe wasema ila ndo mnafungukaga hivi hivi na watu wanakulana kiutan utan na kwa kisingizio natania extta careful mkuu
 
Back
Top Bottom