Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haijulikani Mkuu lakini kuchota pesa za walipa kodi bila idhini ya Bunge ni njia moja ya majizi kufanya wizi wa kufa mtu. Mtu anaweza kuchota 2 trillions akasema alichota 1 trillion na nyingine akaweka mfukoni. Taratibu za kuchukua pesa hazina hazifuatwi hata chembe na hii loophole majizi wanaweza kuitumia kufanya yao.

1 Trillion is just a lot,
Hivi wameiba au wamefanya matumizi nje ya bajeti ??? Hela nyingi sana hizo.
 
88af21ac67288e160c9bc4b18df74bad.jpg
 
Haijulikani Mkuu lakini kuchota pesa za walipa kodi bila idhini ya Bunge ni njia moja ya majizi kufanya wizi wa kufa mtu. Mtu anaweza kuchota 2 trillions akasema alichota 1 trillion na nyingine akaweka mfukoni. Taratibu za kuchukua pesa hazina hazifuatwi hata chembe na hii loophole majizi wanaweza kuitumia kufanya yao.
That's a lot of money....
Wamezitoa Treasury au wapi ???
Teh teh teh teh heri kina Mafuru walisepa mapema aisee......
 
Back
Top Bottom