Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Nakwenda kujificha sasa hivi! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
Hakuna utafiti wowote uliowahi kufanywa ambao uliweza kuthibitisha madhara yanayotokana na mtu kusikiliza muziki,
ila tafiti nyingi zimeegemea katika kutoa faida za muziki katika maisha yetu ya kila siku.
 
1.KUTUNZA KUMBUKUMBU


Haijalishi sasa hivi una umri gani lakini kila mara kuna wimbo ukiusikia lazima utakukumbusha matukio yaliyopita ambapo wakati unapitia kipindi hicho wimbo huo ndio ulikuwa unapigwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…