Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2.KUIMARISHA UMAKINI


Ukiwa ni msikilizaji mzuri wa nyimbo mara nyingi unatengeneza tabia ya kusikiliza wimbo kuanzia mashairi hadi midundo yake na hii si kazi rahisi hata kidogo kwani unatakiwa umakini wa hali ya juu kufanya jambo hili.
 
Cha ajabu utamkuta mtu anaupenda wimbo lakini hajui hata mashairi yanazungumzia nini,
tabia itakufanya hata uwezo wako wa kusikiliza mtu anapoongea uwe mdogo kwani kitendo cha kusikiliza na kutafsiri papo kwa papo kina umuhimu sana katika ulimwengu wa kujifunza.
 
Peace is when a couple disagree and then the
wife buys their child a t shirt written MY HUSBAND IS STUPID...And then the husband buys the same child a t shirt written MY NEIGHBOUR'S WIFE IS BEAUTIFUL..... that's
when peace will just restore itself without the
wife complaining
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzee alienda kanisani kubatizwa alipotoka
kwenye maji padri akamwambia “Sasa wewe ni
kiumbe kipya,usinywe tena pombe na utaitwa
Paul”. Alipofika nyumbani Paul akafungua friji
akatoa bia ya Tusker akaitumbukiza kwenye
maji akasema “Wewe ni kiumbe kipya toka sasa
jina lako ni Fanta Orange”
 
Na ndio maana hata washauri wa mazoezi wanapenda kuwaeleza wateja wao wanapofanya mazoezi ya kukimbia au yoyote ya kutumia viungo ni vyema wakaweka muziki ambao utakuwa unawasindikiza ili wasichoke haraka.
 
5.UNAONGEZA MANENO


Hata kama wewe ni mtumiaji mzuri wa lugha yako lakini kuna maneno unaweza ukawa hujawahi hata kuyatumia katika maisha yako.
Sasa unapokuwa msikilizaji mzuri wa mashairi ya nyimboi inakusaidia kuongeza maneno na maana zake.
 
6.CHANGAMOTO ZA UWEZO WA KUHOJI


Muziki mara zote kama unausikiliza kwa makini unakuletea changamoto za kujiuliza kama kinachoimbwa ni sawa au sio sawa.
Na kitu pekee kitakachokupa uwezo wa kutambua hilo ni uwezo wako wa kuhoji mashairi kutokana na tafsiri yako uliyopata.
Na ndio maana sitashangaa kumkuta mtu anaimba mashairi ya lugha yake lakini hajui hata aliyeimba alikuwa ana maanisha nini
 
434333954_157350.jpg
 
Back
Top Bottom