[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vipi kale ka Bia ketu kahome, kaasili yani! [emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28],Mama mja mzito aliketi vibaya mbele ya mtoto..
mtoto akamwambia naona raundi hii utazaa mvulana.. Mama akamuuliza umejuaje.. mtoto
akajibu nimeona ndevu.
naomba nitolewe kwenye uzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]Akuna feeling tamu kama ile ukioga na maji
moto alafu ujikojolee hio feeling
huniingia adi kwa mitochondria[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
*Ushawahi pewa uji kwa wenyewe halafu
ukapiga sip kubwa bila kujua ni Moto ? Hapo
ndo unatoanga machozi na kulenga stori kwa kusema:* *"Nikikumbuka vile freedom fighters
waliteswa ...machozi hutoka