Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

29716101_525463381185106_7747914521431244800_n.jpg
Aiseee
 
Magonjwa mengi tunaweza kabisa kuyazuia na kuyatokomeza kabisa kwani chanzo chake ni uchafu uliokithiri, lakini mwamko wa kupambana na uchafu uliokithiri hakuna kabisa nchini. Watakuja na kampeni uchwara za usafi kwa mwezi kisha kimyaaaa husikii tena kuhusu kampeni za usafi zinakuwa zimeshaota mbawa.

Hali si nzuri kwakweli
 
Back
Top Bottom