Aiseee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28], ana hatari huyu Yego[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani,unamuogopa mwalimu??
Yaani hiko chama kimekufa kitambo sana tena kabla hakijaanzishwa.Wewe na shemeji yako kipenzi mnalazimisha hiki chama kife, hakifi basi! [emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]Hahaa... Nilipotea njia, nikagairi! [emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23]kichwa chako na wewe kishaharibika na misemo ya humu.
Nimemaanisha miguu na si"mguu"[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ulimtisha nini??maana haiwezekani aghairi ghafla tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28], ana hatari huyu Yego
Salama mkuuWakuu habarini,
Hali si nzuri kwakweli
Show meKid ink ft Chris Brown
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umechanganyikiwa eeeh?Hahaa... Bora tu yaishe, kwani unazidi kunichanganya tu! [emoji1][emoji1]
Kimevunja rekodi kwa kweli. Nimebakia peke yangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1]asante sana yego.
Rip CHACHAWA chama kilichodumu kwa siku chache
Billionea upo?Nawaona
Nawaona